.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 11 Machi 2016

RAIS WA VIETINAM AONDOKA NCHINI

mc4
Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh wakiwapungia wananchi huku wakiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mc5
Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang akiagana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakati alipoondoka nchini Machi 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mc6
 Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh wakiagana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mc7
mc1
Mpiga picha aliyeambatana na Rais wa Vietinam katika ziara yake nchini akicheza ngoma kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka nchini kwa Rais wake , Truong Tan Sang, Machi 11, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni