Shirika la kutetea haki za binadamu limesema linaushahidi kuwa
vikosi vya serikali ya Sudan Kusini, viliwauwa wanaume 60 wakiwemo
wavulana kwa kuwafungia ndani ya kontena na kukosa hewa.
Baada ya kufanya hivyo vikosi hivyo vya serikali viliitupa
miili ya watu hao kwenye mji wa Leer katika jimbo la Unity, shirika
la Amnesty International limesema.
Maelfu ya watu wameuwawa Sudan Kusini na mamilioni wameachwa
bila ya makazi tangu mwaka 2013.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni