Jamii Tanzania, Mtazamo wa Waajiri na Mpango wa hifadhi kwa waajiriwa
wao, wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana. Baadhi ya washiriki, wakiteta jambo wakati wakimsikiliza Mkurugenzi wa Tafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi, alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Hifadhi ya Jamii Tanzania, Mtazamo wa Waajiri na Mpango wa hifadhi kwa waajiriwa wao, wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Tafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi, akiwasilisha mada hiyo wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa mgeni rasmi Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Carina Wangwe (mstari wa mbele katikati), aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa mgeni rasmi Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Carina Wangwe (mstari wa mbele katikati), aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni