Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Abdalla Mwinyi Khamis (kushoto) na Mama Asha Balozi (wa pilikulia) na Mama Fatma Karume pamoja na Viongozi wengine wakiangalia Taarab rasmi ya kumpongeza Rais kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio, Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One ndio vilivyotoa burudani hiyo jana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja.
Msanii Makame faki (Sauti ya Zege) akiimba wimbo wa "Katumbukia Mwenyewe" wakati wa Taarab rasmi ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio,iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One jana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa makamo wa Pili wa Rais Mstaafu Mama Asha Suleiman Iddi wakitunza wakati wa Taarab rasmi ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio, iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One jana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja
Mwimbaji wa Rukia Ramadhan wa Zanzibar One akiimba wimbo unaosema"Kupata Majaaliwa"wakati wa Taarab rasmi ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio, iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One jana katikaukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja,[Picha naIkulu.]
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni