.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 30 Machi 2016

WANANCHI WA KOREA KASKAZINI WATAKIWA KUJIANDAA KULA MIZIZI

Korea Kaskazini imewaonya wananchi wake kujiandaa kula mizizi wakati taifa hilo likielekea katika kipindi cha ukame mkali.

Televisheni ya taifa hilo imewataka wananchi kujipanga kwa kipindi cha 'arduous march' neno lililotumika katika kipindi cha ukame mkubwa wa miaka minne katika miaka ya 1990.

Ukame Ardous March' uliuwa watu milioni 3.5 nchini Korea Kaskazini katika miaka ya 1990.



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni