.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Machi 2016

WATU WENGI WAHOFIWA KUFA KWENYE MILIPUKO NCHINI UBELGIJI


Watu wengi wameuwawa au kujeruhiwa vibaya kwenye mashambulizi ya kigaidi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Brussels na kwenye stesheni ya reli, Waziri Mkuu wa Ubelgiji amesema.  

Taarifa za awali zinasema jumla ya watu 28 wamethibishwa kuwa wamefariki dunia kufuatia mashambulio hayo.
Milipuko milwili imelipuka katika eneo la abiria wa ndege wanaoondoka kwenye uwanja wa ndege wa Zaventem.

Saa moja baadae mlipuko mwingine ulitokea kwenye stesheni ya reli ya Maelbeek.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni