.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 11 Machi 2016

WAZIRI AUGUSTINE MAHIGA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA HABARI NA MAWASILIANO WA VIETNAM.

MAHI1
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akitoa taarifa kuhusiana na dhima ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang nchini Tanzania na manufaa yake kwa pande zote mbili, leo 11 Machi, 2016 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO)
MAHI2
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akitoa taarifa kuhusiana na dhima ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang nchini Tanzania na manufaa yake kwa pande zote mbili, leo 11 Machi, 2016 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
MAHI3
Waziri wa Habari na Mawasiliano wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Nguyen Bal Son akieleza makubaliano waliyofikia ya ushirikiano baina ya Tanzania na Vietnam ikiwa ni sehemu ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang nchini Tanzania na manufaa yake kwa pande zote mbili, leo 11 Machi, 2016 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
MAHI4

MAHI5
Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Wizara toka pande mbili za Tanzania na Vietnam pamoja na Waandishi wa Habari waliohudhuria mkutano huo wakifuatilia mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa Habari na Mawasiliano wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Nguyen Bal Son leo 11 Machi, 2016 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
MAHI6

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni