Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua duka la dawa la MSD baada ya kulizindua kwenye hospitali ya wilaya ya Chato Machi16, 2016. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSD, Profesa Mtulia.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanachama wa Ushirika wa kiwanda cha kuchambua pamba cha Biharamulo Cooperative Union mjini Chato ,Machi 16, 2016
Waziri Mkuu, Kasim Majaliiwa akihutubia mkutano wa hadhara mjini Chato , Machi 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni