Naibu rais wa Kenya William Ruto na mtangazaji wa
radio Joshua arap Sang wameachiwa huru na Mahakama ya Kimataifa ya
Uhalifu (ICC) baada ya kuitupilia mbali kesi yao.
Majiji wa mahakama hiyo wameridhia kwa pamoja kuwa
kesi dhidi ya Ruto na Sang ionndolewe, na kuongeza kuwa uamuzi huo
hauna maana kuzuia kushtakiwa siku za baadae ICC ama mahakama ya
Kenya.
Majaji Eboe-Osuji na Robert Fremr, kwa pamoja
wameafiki kufutwa kwa mashtaka na washtakiwa kuachiwa huru, lakini
wametoa sababu tofauti kwa maamuzi yao hayo waliyofikia.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni