.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 10 Aprili 2016

JAMIE VARDY AFUNGA MBILI WAKATI SUNDERLAND IKITOTA NYUMBANI

Mshambulaiji Jamie Vardy amefunga mara mbili wakati vinara wa Ligi Kuu ya Uingereza wakishinda mabao 2-0 dhidi ya Sunderland.

Vardy alimalizia kirahisi mpira na kupachika goli la kwanza kabla ya baadaye pia kuwazidi kasi mabeki wa Sunderland na na kufunga la pili dakika za majeruhi.

Nafasi pekee ya wenyeji Sunderland kupata goli ilipotezwa na mchezaji aliyeingia kutokea benchi Jack Rodwell, ambaye alipaisha mpira juu ya goli mpira.
                                                  Mshambuliaji Jamie Vardy akipachika goli 
                                         Jack Rodwell akipoteza nafasi ya wazi ya kufunga

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni