.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 14 Aprili 2016

KAIMU KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA SHAKHA HAMDU SHAKA AWASILI WILAYA YA NGORONGORO KUHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shakha Hamdu Shakha akihutubia wafugaji katika wilaya ya Ngorongoro katika wilaya hiyo
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shakha Hamdu Shakha (wanne kushoto) akiwasili katika wilaya ya Ngorongoro ambapo alifanya mkutano wa hadhara na kuzindua matawi ya chama katika wilaya hiyo. Wa kwanza mstari wa mbele ni Mwenyekiti wa UVCCM Arusha Lengai Ole Sabaya (PICHA NA WOINDE SHIZZA,NGORONGORO)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni