Kamishna Mkuu mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA ) Harry Kitilya amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo akikabiliwa na mashitaka ya kula njama, kutenda kosa pamoja kosa la kughushi na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Wengine waliofikishwa mahakamani hapo pamoja naye ni Sioi Sumari na Shose Sinare
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni