.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 14 Aprili 2016

KOBE BRYANT ASTAAFU KIKAPU KWA USHINDI DHIDI YA UTAH JAZZ

Mchezaji wa Kikapu Mmarekani Kobe Bryant amestaafu kucheza mchezo huo baada ya miaka 20 ya kucheza ligi ya NBA, katika mchezo wake wa mwisho dhidi ya Utah Jazz, ambapo Los Angeles Lakers iliibuka na ushindi.

Katika mchezo huo wa jana usiku uliohudhuriwa na watu maarufu kama Magic Johnson, Shaquille O'Neal, Jay Z, Jack Nicholson pamoja na David Beckham, Kobe Bryant alifunga pointi 60 na kuishinda Utah Jazz kwa pointi 101-96.
                                         Kobe Bryant akirusha mpira uliojaa kwenye kikapu
                                         Kobe Bryant akindanki angani na kupachika kikapu 
Mchezaji kikapu wa zamani wa Lakers Magic Johnson akikumbatiana Kobe Bryant
                                                     Kobe Bryant akiwaaga mashabiki wa kikapu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni