.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 13 Aprili 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA WAFANYABIASHARA KATI YA TANZANIA NA OMAN

2 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la Uwekazaji kwa Wafanyabiashara baina ya Tanzania na Oman kuhusu kuangalia fursa za uwekezaji katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi kati ya Nchi mbili hizo, Kongamano hilo limefunguliwa leo April 13,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regence Dar es salaam.
3 4
Washiriki wa Kongamano la Uwekezaji kiuchumi kati ya Tanzania na Oman wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokua akifungua Kongamano hilo kuhusu kuangalia fursa za uwekezaji katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi baina ya Nchi mbili hizo, Kongamano hilo limefunguliwa leo April 13,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regence Dar es salaam.
5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano la Uwekazaji kwa Wafanyabiashara baina ya Tanzania na Oman kuhusu kuangalia fursa za uwekezaji katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi kati ya Nchi mbili hizo baada ya kufungua Kongamano hilo leo April 13,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regence Dar es salaam.Picha na OMR

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni