.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Aprili 2016

MSHAMBULIAJI LUIS SUAREZ AIBEBA BARCELONA KWA KUCHEKA NA NYAVU MARA MBILI

Mshambuliaji Luis Suarez amefunga mara mbili wakati Barcelona ikipambana kutoka bao moja nyuma na kuishinda Atletico Madrid katika mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ulioishia kwa ushindi wa mabao 2-1.

Atletico ilipata bao muhimu la ugenini kupitia kwa Fernando Torres katika kipindi cha kwanza kabla ya Torres kutolewa nje kwa kufanya faulu zilizomzawadia kadi mbili za njano ndani ya dakika saba katika kipindi cha kwanza.
                                  Fernando Torres akishangilia na wenzake bao alilofunga 
                         Fernando Torres akilambwa kadi nyekundu katika mchezo huo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni