.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 27 Aprili 2016

MWANAMKE AJILIPUA NA KUJERUHI WATU SABA NCHINI UTURUKI

Mtu aliyejitoa mhanga kwa kutumia bomu magharibi mwa mji wa Bursa nchini Uturuki amejeruhi watu saba.

Ripoti zimesema shambulizi hilo limetokea karibu na msikiti wa Mkuu wa Karne ya 14, ambao ni nembo ya mji huo.

Gavana wa Bursa amesema mshambuliaji huyo anashukiwa kuwa ni mwnamke aliyejitoa mhanga.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni