.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 9 Aprili 2016

MWANAMUZIKI NDANDA KOSOVO AFARIKI DUNIA

Mwamuziki mahiri wa muziki wa dansi nchini mwenye asili ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya kongo, Ndanda Kosovo amefariki dunia. 

Mwanamuziki huyo aliyepata kujipatia umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kuimba na kucheza, amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Ndanda Kosovo mbali ya kuwa kati ya wanamuziki wa mwanzo na waliojipataia umaarufu akiwa na kundi la Fm Academia, umaarufu wake ulizidi pale alipoanzisha kundi la Stono Musica akiwa na Malou Stonji na Pacheko na kuibuka na vibao ambavyo viliwagusa wadau wengi wa muziki wa dansi.

               Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, AMINA

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni