.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Aprili 2016

NHIF MKOA WA TANGA YAHAMASISHA WAJASIRIAMALI SOKO LA NGAMIANI TANGA KUJIUNGA NA MFUKO HUO LEO

AFISA UHAMASISHAJI KUTOKA NHIF MKOA WA TANGA,VISTUS TILUSASILA AKIHAMASISHA WAJASIRIAMALI KWENYE SOKO LA NGAMIANI KUJIUNGA NA KIKOA BIMA YA AFYA KWA WAJASIRIAMALI LEO KUSHOTO NI AFISA UANACHAMA NHIF MKOA WA TANGA JULIANA MATHIAS.
DAKTARI BENJAMINI SANA KUTOKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOANI TANGA(NHIF) AKIGAWA VIPEPERUFI KWA WAJASIRIAMALI WA SOKO LA NGAMIANI LEO

AFISA KUTOKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOANI TANGA(NHIF)MARRY MONELLA AKIGAWA VIPEPERUSHI WAJASIRIAMALI WA SOKO LA NGAMIANI LEO

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni