Malkia wa Uingereza ametimiza miaka
90, hii leo ambapo zimetolewa picha mbalimbali za malkia huyo akiwa
na vitukuu, wajukuu pamoja na watoto wake na wenza wao.
Picha hizo zenye mvuto zilizopigwa
na Mmarekani Annie Leibovitz, moja wapo Malkia yupo na vitukuu vyake
huku akiwa amembeba kitukuu chake cha mwisho Princess Charlotte.
Malkia wa Uingereza akiwa na Prince Charles, Prince George aliyeshikwa mkono na baba yake Prince William
Picha ya pamoja ya wanafamilia ya Kifalme wa Uingereza, hapa anakosekana Prince Harry



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni