.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 11 Aprili 2016

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri (BLM) mara baada ya kuwaapisha Viongozi hao hapo jana, kikao kilichofanyika leo kiliwajumuisha Mawaziri pamoja na Naibu Mawaziri wote wa wizara 13 katika ukumbi wa Baraza hilo Ikulu Mjini Unguja.Picha na Ikulu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni