.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 14 Aprili 2016

TETEMEKO LA ARDHI LAJERUHI VIBAYA WATU NCHINI JAPAN

Tetemeko limelikumba eneo la kusini mwa Japan na kujeruhi vibaya watu kadhaa na kunauwezekano wengine wamekwama chini ya vifusi vya nyumba zilizoanguka.

Hadi sasa hakuna tahadhari ya tsunami iliyotolewa baada ya tetemeko hilo lenye ukubwa wa alama 6.4.

Idara ya Hali ya Hewa ya Japan imesema tetemeko hilo limetokea mashariki mwa mji wa Kumamoto katika kisiwa cha Kyushu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni