.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 30 Aprili 2016

UZINDUZI WA MICHEZO YA UMISSETA MKOANI MWANZA

Mkuu wa mkoa wa Mwanza.John Mongella akipokelewa na viongozi na wadau wa michezo alipowasili uwanja wa CCM Kirumba kuzindua mashindano ya COPA UMISSETA
Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza, Hamis Maulidi akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Katibu wa Baraza la Michezo la Taifa(BMT), Mohamed Kiganja akizungumza katika uzinduzi wa mashindano hayo.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella akipiga mpira kuzindua mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (COPA UMISSETA) ambayo yanadhaminiwa na kampuni ya vinywaji ya Cocacola jana kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
Wanafunzi kutoka shule mbalimbali za sekondari mkoani Mwanza walihudhuria
Meneja masoko wa wa kampuni ya vinywaji baridi ya Cocacola Kanda ya Ziwa, Marco Masaka akizungumza katika uzinduzi huo.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni