.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Aprili 2016

VITUKO VYA MATOKEO YA KUYACHUKULIA KIJUJUU MAELEKEZO

Kunawakati maelekezo yanakuwa magumu kuyafuata, hususan pale mtu asipoyasoma kwa uangalifu na kujikuta akiwa kituko.

Ukiangalia maelekezo kijujuu na kuyatafsiri kwa makosa matokeo yake huwa kituko kwa wengine kama watu hawa.
      Huyu yeye aliamua kufuata maelekezo yanayosema eneo la kuvutia sigara lipo juu
                                               Huyu yeye alizingatia jina la duka la dawa 
           Si wameandika wenyewe kama haijavunjika vunja..jamaa kafanya kweli
         Si ulisema mwenyewe aandike Happy Birthday on Both cakes...yeye kaelewa hivyo
   Mbona simpo tu swali ni kuyapa majina maumbo hayo Hope kaamua kuyapa majina ya watu.
        Maelekezo ya alama katika kibao yakitekelezwa kwa vitendo na raia mwema

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni