Mwenyekiti wa Soko la Kisutu Tamimu Chande akizungumza katika Kampeni ya Kuongeza uelewa wa kupinga ukatili wa Kijinsia katika Soko la Kisutu Dar es Salaam leo asubuhi. Kampeni hiyo inaendeshwa na Shirika la Eqiuality for Growth (EfG).
Meneja wa Mradi huo kutoka Shirika la Equality for Growth, Grace Mateh akizungumza kwenye kampeni hiyo.
Ofisa Maendeleo wa Kata ya Mchafukoge, Domonica Balama akizungumza katika kampeni hiyo.
Mfanyabiashara katika Soko hilo, Charles Mloka akichangia jambo kwenye kampeni hiyo kuhusu wanawake wafanyabiashara kujitambua kuhusu ukatili wa jinsia masokoni
Mfanyabiashara Godfred Kijange akichangia kuhusu wanawake kuwa chanzo cha ukatili wa kijinsia.
Katibu wa Soko la Kisutu, Suitebet Nyawalle akiserebuka na wasanii wa kundi la machozi katika kampeni hiyo.
Burudani zaidi kutoka kundi la machozi zikiendelea hapo ni Babu na Bibi wakifanya vitu vyao.
Mfanyabiashara wa Soko hilo Editha Mtembei akichangia jambo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni