.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 28 Aprili 2016

WAZIRI ABOUD ATEMBELEA WANANCHI WANAOKAA KATIKA KAMBI YA MAAFA YA SKULI YA MWANAKWEREKWE C UNGUJA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed akitembelea Kambi ya Wananchi waliopata Maafa ya Mvua za Masika katika Skuli ya Mwanakwerekwe C Unguja kuona maendeleo ya kambi hiyo ikiwa na Wananchi wanaopata hifadhi katika kambi hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Mohammed Aboud Mohammed akisalimiana na baadhi ya Watoto wanaoishi katika Kambi hiyo ya Skuli ya Mwenakwerekwe C Zanzibar.
Waziri Aboud akiwafariji watoto wanaoishi katika kambi hiyo wakati alipofika kuwatembelea na kujua hali za wananchi wanaoishi kambi kambi hiyo.
Baadhi ya Watoto waliopata maafa katika makaazi yao wakiwa katika Kituo hicho wakicheza mpira, kama walipovyokutwa na mdau wa blog hii akiwa katika matembezi yake mitaani.
Baadhi ya Watoto wanaoishi katika Kambi ya Skuli ya Mwanakwerekwe C Unguja wakiwa katika mchezo wao kituoni hapo wakicheza mpira.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni