.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 11 Aprili 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA ZIARA KWENYE JIMBO LAKE LA UCHAGUZI LA RUANGWA

MONG1
Waziri Mkuu, KassimMajaliwa akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa kuhutubia mkutano wa hadhara Aprili 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MONG2
Mmoja wa wananchi wa kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa (jina halikupatikana) akimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati aipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo, Aprili 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MONG3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MONG4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mwendesha pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa kijiji cha Nandagara wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. Alikuwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MONG5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi wakizungumza na mwendesha pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa kijiji cha Nandagara wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. Alikuwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni