Mshambuliaji kinda wa Manchester
United, Marcus Rashford, 18, amezidi kupanda baada ya kuingizwa
katika kikosi cha wacheaji 26 wa Uingereza kitakachoshiriki michuano
ya Ubingwa wa Ulaya.
Kinda huyo aliyeanza kuchezea timu
ya wakubwa ya Manchester United Februari mwaka huu, amechaguliwa na
kocha Roy Hodgson hii leo katika kikosi kinachojiandaa na michezo ya
maandalizi dhidi ya Uturuki, Australia na Ureno, kabla ya michuano
hiyo Ufaransa.
Katika kikosi hicho cha Uingereza
pia yumo winga Andros Townsend aliyeitwa na kocha Hodgson baada ya
kumaliza vyema Ligi Kuu ya Uingereza akiwa na timu yake iliyoshuka
daraja ya Newcastle.
Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hodgson
Makipa: Fraser Forster (Southampton), Joe Hart (Manchester City), Tom Heaton (Burnley)
Mabeki: Ryan Bertrand (Southampton), Gary Cahill (Chelsea), Nathaniel Clyne (Liverpool), Danny Rose (Tottenham), Chris Smalling (Manchester United), John Stones (Everton), Kyle Walker (Tottenham)
Viungo: Dele Alli (Tottenham), Ross Barkley (Everton), Fabian Delph (Manchester City), Eric Dier (Tottenham), Danny Drinkwater (Leicester City), Jordan Henderson (Liverpool), Adam Lallana (Liverpool), James Milner (Liverpool), Raheem Sterling (Manchester City), Andros Townsend (Newcastle), Jack Wilshere (Arsenal)
Washambuliaji: Harry Kane (Tottenham), Marcus Rashford (Manchester United), Wayne Rooney (Manchester United), Daniel Sturridge (Liverpool), Jamie Vardy (Leicester City).
Kikosi Kizima Cha Uingereza ni Kama
ifuatavyo:-

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni