.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 16 Mei 2016

MABONDIA WA TANZANIA WAPIGWA PINI KUCHEZA JUNE 4 UWANJA WA TAIFA

Bondia Japhert Kaseba kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga na bondia Amour Mzungu wa Zanzibar siku ya june 4 mwaka uhu katika uwanja wa ndani wa taifa anaeshudia ni Katibu wa shilikiho la ngumi za kulipwa nchini Anton Rutta Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Jonas Segu kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa taifa atakapozxipiga na bondia kutoka nje wanaoshudia katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma na mwingine ni Hamisi Chala Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Mfaume Mfaume akisaini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 mwaka uhu na bondia kutoka nje ya nchi mbele ya Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Fadhili Majiha kulia akisaini mkataba wa kuzipiga na bondia kutoka nje siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma.Picha na SUPER D BOXING NEWS

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni