.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 3 Mei 2016

MAHAKAMA YA ITALIA YASEMA MTU KUIBA CHAKULA KIDOGO ILI KUJIOKOA NA NJAA SIO UHALIFU


Kuiba kiasi kidogo cha chakula ili kujiokoa na njaa si uhalifu, Mahakama ya Juu ya Rufaa nchini Italia imetoa uamuzi huo.

Majaji wa mahakama hiyo wametengua hukumu dhidi, Roman Ostriakov, baada ya kuiba jibini na soseji zenye thamani ya dola 4.50 kwenye duka kubwa la bidhaa.

Mahakama imesema Ostriakov, ambaye ni raia wa Ukraine asiyena makazi aliiba chakula kwa mahitaji ya mara moja ya dharura, na ambacho kinahitajika kwa virutubisho vya mwili, hivyo kitendo hicho sio uhalifu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni