Mkurugenzi Mwendeshaji wa AICC, ndugu Elishilia Kaaya (kushoto) akimkabidhi ndugu HusseinBaitira hundi yenye thamani ya shilingi 3,800,000/- ikiwa ni motisha kwa mfanyakazi huyo baada ya kuonesha ubunifu katika kutengeneza viyoyozi kumi (10) vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) viyoyozi ambavyo vilikuwa vimeharibika.
Mshindi wa tuzo ya ubunifu, ndugu Hussein Baitira (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mhasibu Mkuu ambaye pia ana kaimu nafasi ya Mkurugenzi wa Fedha na Utawala ndugu Augustine Karadoga, Afisa Utawala na Rasilimali Watu ndugu Fanuel Festo pamoja na Katibu wa Chama cha Wafanyakazi (TUICO) tawi la AICC ndugu Rashid Habib Rashid mara baada ya kukabidhiwa hundi yenye thamani ya shilingi 3,800,000/-
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni