Katika mkoa wa Arusha NSSF imetoa elimu kwa wafanyabiashara wadogo wadogo katika soko la Kilombero. Zoezi hilo litaendelea kesho tarehe 19/05 katika eneo la soko la Kilombero.
Afisa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Amani Marcel (kushoto), akimkabidhi mwanachama mpya fulana wakati wa Kampeni maalumu ya kuwafikia wanachama wengi zaidi iliyofanyika katika Soko la Kilombero Jijini Arusha.
Wananchi wakiwa katika foleni ya kujiandikisha uanchama wa NSSF wakati wa Kampeni maalumu ya kuwafikia wanachama wengi zaidi iliyofanyika katika Soko la Kilombero jijini Arusha.
Afisa wa NSSF Bi. Irene Mshanga akimwandikisha mwanachama Mpya wakati wa Kampeni maalumu ya kuwafikia wanachama wengi zaidi inayoendelea katika soko la Kilombero jijini Arusha.
Afisa Mwandamizi wa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Amina
Mbaga Akitoa ufafanuzi kwa Mwanchama mpya wakati wa Kampeni maalumu ya kuwafikia wanachama wengi zaidi inayoendelea katika Soko la Kilombero Jijini Arusha leo. Afisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Anna Nguzo Akitoa ufafanuzi kwa Mwanchama mpya wakati wa Kampeni maalumu ya kuwafikia wanachama
wengi zaidi inayoendelea katika Soko la Kilombero Jijini Arusha leo.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni