.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 4 Mei 2016

PAPA WEMBA KUZIKWA LEO JIJINI KINSHASA

Maziko ya mmoja wa wanamuziki wakubwa barani Afrika, Papa Wemba, yanafanyika leo Jijini Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Umati mkubwa umekusanyika nje ya Kanisa la Notre Dame, ambako ibada ya watu wa karibu na familia inafanyika. Kabla ya kuzikwa baadaye Jijini Kinshasa.

Wemba, 66, aliyepachikwa jina la Mfalme rumba, alifariki baada ya kuanguka jukwaani nchini Ivory Coast Aprili 24.
                         Ibada ya kuuombea mwili wa Papa Wemba ikiendelea kanisani

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni