.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 16 Mei 2016

SHABIKI WA MAN UTD KUTOKA SIERRA LEONE ACHANGANYIKIWA BAADA YA MECHI KUHAIRISHWA JANA

Shabiki wa Manchester United aliyejibana fedha zake na kusafiri kutoka Sierra Leone kuja kuiona klabu yake ikicheza mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Uingereza alijikuta katika wakati mgumu baada ya mchezo huo kuhairishwa kwa tishio la bomu feki.

Moses alikuwa ni miongoni mwa mashabiki wa Manchester United waliojikuta wakichanganyikiwa jana baada ya tukio hilo, lakini alipata faraja baada ya mashabiki wenye moyo wa huruma kumlipia tiketi ya ndege na kuingia uwanjani kuja kuiona Manchester United katika mchezo wa fainali ya Kombe la FA.
Moses akiwa amechanganyikiwa huku mishipa ya kichwani ikimtoka baada ya mchezo wa Manchester United kuhairishwa hapo jana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni