.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 7 Juni 2016

BADA YA UCHUMBA WA RICHARD JEREMIA NA HAPPY KULOLA YAFANA KATIKA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA

Richard Jeremia (Kulia) akimvisha pete ya Uchumba, Mchumba wake, Happness Daniel Kulola (Kushoto). Ibada ya kutangaza Uchumba huo ilifanyika jumapili iliyopita, June 05,2016 katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji Dr.Daniel Moses Kulola. Sendoff inatarajiwa kufanyika June 29,2016 na Harusi Julai 03,2016. Imeandaliwa na BMG
Happness Daniel Kulola (Kushoto), akionyesha pete ya uchumba aliyovishwa na mchumba wake, Richard Jeremia (Kulia).
Shangwe zikiendelea wakati wa zoezi hilo la kutangaza uchumba na kuvisha pete ya uchumba.
Kutoka kushoto ni bwana harusi mtarajiwa, Richard Jeremia, Paul Tukuka na Victor Misana.
Kutoka kushoto ni Mariam Samwel, Bibi harusi mtarajiwa, Happnes Daniel Kulola na Paulina David
Mchungaji Dr.Daniel Mose Kulola, akiwaombea wanandoa watarajiwa baada ya kutangaza uchumba wao kanisani (EAGT Lumala Mpya).
Waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, wakiwaombea wanandoa watarajiwa baada ya kutangaza uchumba wao kanisani.
Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, Dr.Daniel Moses Kulola, akiongoza ibada ya Kusifu katika kanisa hilo.
Waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya wakiwa katika ibada Kusifu na Kuabudu iliyofanyika jumapili iliyopita.
Waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya wakiwa katika ibada Kusifu na Kuabudu iliyofanyika jumapili iliyopita.
Waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya wakiwa katika ibada Kusifu na Kuabudu iliyofanyika jumapili iliyopita.
Waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, lililopo karibu na Soko jipya la Sabasaba Ilemela jijini Mwanza, wakifuatilia ibada ya jumapili iliyopita.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni