.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 19 Juni 2016

BASI LAGONGA LORI NA KUUWA WAUMINI WAWILI WA KANISA LA WASABATO

Watu wawili wamekufa usiku wa jumamosi na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani baada ya basi kugonga na lori katika kaunti ya Migoro nchini Kenya.

Mwanamke mmoja alifariki dunia papo hapo huku mwanaume mmoja akifariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Kisii kwa matibabu.

Watu wawili hao waliokufa ni waumini wa Kanisa la Wasabato (SDA), waliokuwa wametoka katika makambi huko Ndhiwa, Kaunti ya Homa Bay.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni