.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 21 Juni 2016

BEYONCE NA MUMEWE JAY Z WAFANYA MATANUZI HAWAII


Wanandoa wanamuziki nyota nchini Marekani Beyonce na Jay Z, wamepata wakati murwa wakiwa pamoja wakati wakiwa mapumziko huko Hawaii.

Beyonce mwenye umri wa miaka 34, alionekana mwenye mvuto kutokana na nguo ya kuogelea yenye rangi rangi aliyoivaa.
                                                               Beyonce akipiga selfie na mumewe Jay Z 
                                          Beyonce wa Jay Z wakiangali picha zao za Selfie walizopiga 
                                    Jay Z akicheza na mtoto wake huku Beyonce akiwapiga picha

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni