Mkuu wa wilaya alimshukuru kiongozi huyo wa jumuiya hiyo mkoani Iringa kwa kuhamasisha kuishi kwa amani.
Naye Mkuu wa wilaya alisistiza suala la kuvumiliana " religious and political torelence" Kila mmoja wetu anayo nafasi katika kuhakikisha amani inapatikana toka nyumbani mwetu hadi kwenye taifa.
Mkuu wa wilaya pia aliwatakia mfungo mwema kwa mwezi mtukufu. JUMUIYA HII INA MSEMO ' LOVE FOR ALL HATRED FOR NONE" MAPENZI KWA WOTE CHUKI SI KWA YOYOTE.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni