Kanisa la Gilgal Christian Ministries International, lililopo Pasiansi Ilemela jijini Mwanza chini ya Askofu Eliab Sentozi, linawakaribisha wana wa Mungu katika Uzinduzi wa albamu Mpya ya “Nayajua Mawazo” iliyoimbwa na Kwaya ya kanisa hilo ijulikanayo kama “Gilgal Choir”.
Uzinduzi huo wa Kihistoria unatarajiwa kufanyika jumapili ijayo tarehe 12.06.2016 kuanzia saa nane mchana, katika viwanja vya kanisa hilo, ambapo hakuna kiingilio, yaani watu wote watashuhudia uzinduzi huo BURE kabisa.
Waimbaji mbalimbali kama vile Emmanuel Mwakisepe, Sarah Joel, HHC Ilemela Choir, Rivival Mission Band, EAGT Mlima wa Utukufu Choir, AIC Nyakato, EAGT Lumala Mpya, EAGT Msumbiji, Happnes Mwakyusa
Band, Uinjilisti Choir Gilgal, EAGT Imani Pasiansi, Betty Lucas, Christian Calvin na wengine wengi watakuwepo ili kunogesha uzinduzi huo.Kwa ushauri zaidi.
Band, Uinjilisti Choir Gilgal, EAGT Imani Pasiansi, Betty Lucas, Christian Calvin na wengine wengi watakuwepo ili kunogesha uzinduzi huo.Kwa ushauri zaidi.
Wasiliana na Gilgal Choir kwa nambari za simu 0757 16 85 85 au 0753 89 37 55 na Mwenyezi Mungu Atakubariki zaidi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni