.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 7 Juni 2016

MABONDIA WA SUPER D WAWATOA NISHAI WA MATUMLA NA MZAZI

Mabondia Vicent Mbilinyi kulia akioneshana umwamba wa kutupiaa makonde na Msafiri Haule wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbilinyi alishinda kwa point mpambano uho wa raundi sita Picha na SUPER D BOXING NEWS

WAKISUBILI MATOKEA BAADA YA KUMALIZIKA MPAMBANO
Mabondia Ibrahimu Mwaluwale kutoka kwa 'Mzazi GYM' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela kutoka kwa 'Super D Coach' wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mkwela alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Idd Mkwela kutoka kwa 'Super D Coach'  kushoto akioneshana umwamba na Mabondia Ibrahimu Mwaluwale kutoka kwa 'Mzazi GYM' Mkwela alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Ibrahimu Mwaluwale kutoka kwa 'Mzazi GYM' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela kutoka kwa 'Super D Coach' wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mkwela alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni