Chef Issa na ma-Chef wa timu ya Stockholm, Sweden, waliposhiriki na kushika nafasi ya kwanza katika kipengele cha timu za kanda kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la Mapishi yajulikanayo kama Boch Culinary World Cup 2014 yaliyofanyika nchini Luxemborg.
Chef Issa Kapande ni mpishi maarufu na mmiliki wa mgahawa mkubwa unaotoa huduma za chakula cha Kitanzania nchini Sweden, unaojulikana kama Tanzania Restaurant.
Alikuwa mkarimu sana kujiunga na Mubelwa Bandio kuzungumzia safari yake katika fani ya upishi na mpaka alipofikia. Karibu ujiunge nasi kusikiliza
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni