.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 20 Juni 2016

MWENGE WAINGIA IRINGA

Vijana wa Karate na chipukizi kutoka Iringa wakiwaonyesha Njombe ufundi wa kisansui. 

Mkuu wa mkoa wa Njombe Bi Rehema Nchimbi leo amemkabidhi Mkuu wa mkoa wa Iringa Bi Amina Msenza Mwenge wa Uhuru utakaokimbizwa kwa siku 5 katika mkoa wa Iringa wenye halmashauri 5 na kuzindua miradi, kukagua na kuweka jiwe la Msingi yenye thamani ya Tsh bil 25. 

Leo Mwenge huo umekimbizwa Wilaya ya Mufindi , kesho wilaya ya Iringa. shamrashamra hizo zilifanyika kijiji cha Nyigo.
Mkuu wa mkoa Iringa Bi Amina Masenza akiwa ameubeba Mwenge wa Uhuru
  Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa ameubeba Mwenge wa Uhuru.


Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza, Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela, Mkuu wa wilaya ya Kilolo Selemani Mzee na Mkuu wa wilaya ya Mufindi Jolwika Kasunga wakicheza ngoma ya kihehe wakipokea Mwenge kutoka Mkoa wa Njome leo eneo la Nyigo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni