Wanachi wakipita katika Mtaa wa Kongo bila usumbufu wowote baada ya wafanyabiashara wanaopanga bidhaa zao chini kuondolewa na Polisi leo. Gari la Polisi likiwa katika mtaa wa Kongo. Polisi wakiwa Doria Polisi wakizima moto uliowashwa na wamachinga. Askari wakiwa wameimarisha ulinzi katika mtaa wa Kongo. Zoezi la kuzima moto likiendelea. Mtaa wa Kongo ukiwa mweupe baada ya kuondolewa kwa wamachinga.
.
Gari la Polisi likimwaga maji kuzima moto uliokuwa unawaka.
Wananchi wakipita kandokando ya magari ya Polisi.
Polisi wakizima moto.
Mtaa wa Kongo ukiwa mweupe baada ya Polisi kuondoa wamachinga waliokuwa wamepanga bidhaa zao chini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni