Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makala (Katikati)akizungumza na viongozi wa
benki kuu ya Tanzania (BOT)tawi la Mbeya,kulia Mkurugenzi wa benki kuu
ya Tanzania (BOT)tawi la Mbeya Jovent Rushaka na Meneja Utawala na fedha
Bakali Ally kushoto katika mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa
mikutano benki kuu ya Tanzania (BOT)tawi la Mbeya ,June 28 -2016.
|
Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla akizungumza na viongozi na wafanyakazi
wa benki kuu ya Tanzania (BOT)tawi la Mbeya mara baada ya kufanya ziara
katika kwa engo la kujitabulisha .
|
Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla (kulia)akimsikiliza kwa makini Meneja
utwala na fedha wa benki kuu ya Tanzania (BOT)tawi la Mbeya ,Ally Bakari
wakati akizungumza mambo mbalimbali yahusuyo benki hiyo.
|
Baadhi ya viongozi wa benki hiyo wakiwa makini katika mkutano huo.
|
Mgeni rasmi katika picha ya Pamoja na viongozi na wafanyakazi wa benki hiyo.
|
Na EmanuelMadafa, JamiiMojablogu Mbeya
SERIKALI MKOANI Mbeya imeitaka benki kuu ya Tanzania (BOT)tawi la Mbeya kufanya utatifi juu ya kuwepo kwa ununuzi wa mazao kwa wakulima mapema kabla ya kuanza kukomaa hususani mazao ya ndinzi hasa katika halmsahuri ya wilaya ya Rungwe Mkoani humo.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla wakati akizungumza na wafanyakazi wa benki Kuu Tanzania (BOT)tawi la Mbeya mara baada ya kufanya ziara katika benki hiyo yenye lengo la kujitambulisha.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni