Umoja wa madjs wa zamani waliosumbua katika muziki wa Disco enzi zao ulikutana tena siku ya Jumanne June 14, 2016 Escape one Mikocheni katika kikao chao cha kamati iliyoteuliwa kuunda katiba ya umoja huo uliobeba jina la Tanzania Worldwide Djs ukiwa unawajumuisha madjs wote waliotamba enzi zao ambao kwa sasa wametapakaa kote dunia. Walioshiriki kikao maalum cha kutengeneza katiba ni Dj Saydou, Dj Godfather, Dj Peter Moe, Dj Ebony M, Dj Venture, Dj Young Ray na Dj Young Jesse.Jumatano, 15 Juni 2016
TWD YAKUTANA KUTENGENEZA KATIBA YAO
Umoja wa madjs wa zamani waliosumbua katika muziki wa Disco enzi zao ulikutana tena siku ya Jumanne June 14, 2016 Escape one Mikocheni katika kikao chao cha kamati iliyoteuliwa kuunda katiba ya umoja huo uliobeba jina la Tanzania Worldwide Djs ukiwa unawajumuisha madjs wote waliotamba enzi zao ambao kwa sasa wametapakaa kote dunia. Walioshiriki kikao maalum cha kutengeneza katiba ni Dj Saydou, Dj Godfather, Dj Peter Moe, Dj Ebony M, Dj Venture, Dj Young Ray na Dj Young Jesse.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni