Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kesho Jumanne Juni 7, 2016 saa 5.00 asubuhi atakutana na uongozi wa Young Africans pamoja na sekretarieti ya TFF kuzungumzia mustakabali wa uchaguzi wa Klabu ya Yanga. Kikao baina wadau hao kinatarajiwa kufanyika ofisi za TFF.
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni