
Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni leo wametumia mtindo mpya kueleza hisia zao baada ya kuamua kutoka kwenye ukumbi wa Bunge wakiwa wamejifunika midomo kwa karatasi.

Mbunge
wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia amesema wameamua kutumia mtindo
huo mpya kwa sababu Bunge limekataa kuwasikiliza hoja zao.Kwa hisani ya Lukaza Blog


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni