Bondia Idd Mkwela katikati akipima uzito kwa ajili ya mpasmbano wake wa leo julai 16 na Hussein Gobosi mpambano utakaofantika Travertain Magomeni kushoto ni msimamizi wa upimaji uzito Pembe Ndava nadr donard Madono Picha na SUPER D BOXING NEWS Bondia Idd Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Hussein Gobos baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika leo julai 16 katika ukumbi wa travertain Magomeni Picha na SUPER D BOXING NEWS
|
Bondia Idd Mkwela katikati akipima uzito kwa ajili ya mpasmbano wake wa kesho julai 16 na Hussein Gobosi mpambano utakaofantika Travertain Magomeni kushoto ni msimamizi wa upimaji uzito Pembe Ndava nadr donard Madono Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Idd Mkwela kushoto akipima uzito kwa ajili ya mpasmbano wake wa kesho julai 16 na Hussein Gobosi mpambano utakaofantika Travertain Magomeni kushoto ni msimamizi wa upimaji uzito Pembe Ndava nadr donard Madono Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Idd Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Hussein Gobos baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho julai 16 katika ukumbi wa travertain Magomeni Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na Young Coach Edward Emmanuel Lyakwipa kushoto mabondia Idd Mkwela wa pil kushoto na kulia ni bondia Vicent Mbilinyi na Idd Pialali baada ya bondia Idd Mkwela kupima uzito kwa ajili ya kupambana na Husein Gobosi mpambano utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Travertain Magomeni Picha na SUPER D BOXING NEWS |

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni