.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 27 Julai 2016

DK. SHEIN AELEKEA UINGEREZA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali akiagwa na Makamu wa ili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Mjini Dar es salaam akielekea Nchini Uingereza kwa uchunguzi wa kawaida wa Kiafya.
Balozi Seif akimuaga Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein katika chumba cha watu mashuhuri {VIP } kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam Jijini Dar es salaam. Picha na – OMPR – ZNZ.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni