Bondia Idd Mkwela kushoto akipambana na Nassoro Madimba wakatiwa mpambano wao uliofanyika bagamoyo mkoa wa pwani Mkwela alishinda kwa K,O ya raundi ya pili ya mpambano uho Pichas naSUPER D BOXING NEWS |
Bondia Idd Mkwela kushoto kutoka kambi ya Super D Coach Uhuru GYM Kariakoo akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Nassoro Madimba wa Bagamoyo wakati wa mpambano wao uliofanyika Bagamoyo Mkoa wa Pwani Mkwela alishinda kwa Ko. ya raundi ya pili Pichas naSUPER D BOXING NEWS
Refarii Said Chaku akimesabia bondia Nssoro Madimba baada ya kupokea konde zito kutoka kwa Idd Mkwela na kwenda chini Pichas na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Kalama Nyilawila kushoto akipambana na Hussein Pendeza wakati wa mpambano wao uliofanyika bagamoyo Kalama alishinda kwa T.K.O ya raundi ya pili ya mchezo Pichas na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Kulwa Bushiri kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Abdallah Pazi wakati wa mpmbano wao uliofanyika Bagamoyo mkoa wa pwani Pazi alishinda kwa K.O ya raundi ya pili ya mpambano uhoPichas na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na mabondia wake Idd Mkwela katikati na Vicent Mbilinyi wakati wa mpambano wa Mkwela uliofanyika Bagamoyo Mkoa wa PwaniPicha na SUPER D BOXING NEWS |
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni