Kocha
mpya wa Manchester United, Jose Mourinho ameanza kibarua rasmi ambapo
ameonekana kwa mara ya kwanza mazoezini akiwa na wachezaji kadha wa
klabu hiyo wakiwemo wapya aliowasajili.
Kocha
huyo wa zamani wa Chelsea na Real Madrid alitambulishwa rasmi kama
kocha wa Manchester United Julai 5, na mara moja kutangaza azma yake
ya kuirejesha heshima yake katika ligi kuu ya Uingereza.
Kocha Jose Mourinho akiwaangalia wachezaji wake wakati wakifanya mazoezi
Adnan Januzaji akifanya mazoezi na Henrikh
Mkhitaryan
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni